Karibuni kwenye blog hii mpya..
maalamu kwa wale wote wazalendo wa MaliAsili zetu hapa Tanzania.
Hii ni changamoto tu kwa watanza wenye nia njema...tunatumbua thamani ya utunzaji na kujali mazingira na maliasili zetu kweli?
Je, unapotupa uchafu mahali pasipostahili, je, unafahamu ni hasara gani unalipa taifa kama kitendo hicho ca kutupa uchafu kingepigiwa mahesabu?
Kwa hiyo ni muda muafaka wa kufahamu kuwa sisi watanzania wote ni mafisadi nyangumi, ambao kama hali ikiendelea hivi, nakwambieni na kukuhakikishieni kuwa watoto na vilembwa wetu watakua wanayakanyaga makaburi yetu.
Hivyo jamani ni wakati muafaka wa kuanza kufikiria matumizi na matendo yetu kwenye mazingira yetu kwa maana ya kifedha ili tuogope na kutambua umuhimu wa mazingira yetu.
MwanaMazingiraHalisi
Monday, May 4, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)
